KP & ZEBUU _ FUNGU LA KUKOSA

72,842
0
Published 2024-05-20

All Comments (21)
  • @BadriaMaulid
    Ahhhh kp please km mmegomban na ao wat watatu naomb mmalize tofaut zenu warud ulingon please please please me npnda mkiwa p1๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰
  • @RebekaKulwa
    Tumewamiss wazee we2 kp fanya mpango waonekane bas
  • Kp please rudisha mzee likona..dibosi na suraji ama tungome kuwatch kipindi chako๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  • @HassanBambaza
    Kp kama umezenguana namzee likoma, dibozi,suraji unatunyima utamu warudisheni bhna wanafanya movie zako zinoge
  • @user-ij2po2jw2f
    Yaani Kila mtu na kipaji chake Kuna sehemu anahitajika kabisa mzee likoma dibozi na suraji ila unafosi Kwa wengine havinogi
  • @ala1608
    Nahisi kua mzehe likoma na Dibonzi na sulaji wanaweza kua wamegombana na Kp sio kawaida kukosa kilasiku tume wamiss sana ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข
  • @user-pl6ey6qu9b
    Unyama mwingi sana โคโค๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜…
  • @merryananias
    Hahahaha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ eti, digiliii kwenye kabati
  • @Ekerengatv-045
    Kicheko Cha Zebuu kinanifanya naipenda hii kazi๐ŸŽ‰
  • @JaneAnyona-bu3rj
    Kp huyo mhusika wako katika sonaa ni kama haleti shangwe...umezinguana na akina dibozi ndo utuletee yule...acha tutamcheki kma anaendana na team yako cpendi mchezo nataka wale wazee pamoja na silaji...nko apa ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
  • @MusondaKimpinde
    I miss mze likoma anda dibozi... from Zambia โค๏ธ
  • @user-qp2uf4iy3p
    Ukweli tuseme bila wale watu watatu likoma , Suraj na yule mwingine nimemsahau jina naona kama mmepoa kiac
  • Muvi zenu ni nzuri sana hata wasiwepo kina diboz likoma na Suraj ila tu inapendeza mkiwa wote Mana mmetoka mbali Sana na mnapendeza Sana mkiwa pamoja
  • @KhairatAli-hx6xi
    Kp Mzee likoma mume gombana na suraji na diboz nawapenda nyote kz mzr